Header Ads

MADHARA NA TAHADHARI ZA KULA SOYA!



Mpendwa wangu msomaji nakupa kitu hiki na pengine ni kigeni masikioni mwako lakini twende nami mpaka mwisho ukaelewe ni nini nachotaka kusema HAPA katika kurasa hizi za MBOCHI HERBAL LIFE

SIKIA HII NIKUELEZE..
nafaka zote kama
#Maharage
#Mahindi
#korosho
#Karanga nk
Hii zote zinasababisha kansa nia yangu siyo kuwa tisha watu apana.!
Ila ukweli ni kwamba kama nafaka itakuwa Attached na Asper-gillus hii ni aina ya Fungus ambayo huwa inatoa sumu iitwayo Aflatoxin sumu hii mpendwa wa Mbochi nikueleze tu uwa inaeneza Kansas(Cancer)
Kinachoweza kufanya nafaka kupata hawa FUNGUS ni kutokukauka vizuri wakati wa kuvunwa na ndiyo maana unashauriwa uchague vizuri kabla ya kuyatumia,pia kama waitaji kutumia nafaka hii ya soya na kuisaga hakikisha kwanza ni kavu kabisa kabla ya kuisaga na ndipo baadae uianike sehemu kavu kwa muda mrefu ikauke..

TAHADHARI NI HII
       (Soya/soy)
*Soya hii mpendwa inaweza kukuletea Allergy kwa baadhi ya watumiaji

*Soya ambazo ni mbichi au zimepikwa zina kampaundi ziitwazo Goitrogens ambazo zinaweza kuingilia  ufanyaji kazi wa tezi ya Shingo(Thyroid gland)

*Watu wenye mawe ya figo (KIDNEY STONE) yenye Oxalate hawatakiwi kula soya kwa wingi kwani zina madini ya Oxalate na hiyo huweza kuchangia mawe haya ya Figo

*Wanawake wenye saratani ya Matiti (Oestrogen-sensitive breast tumours) wanatakiwa kutumia soya na bidhaa zake kwa kiasi kidogo

*Phytoestrogens ikijumuisha na Isoflavounes zimekuwa zikihofiwa kwamba zinaweza kuleta madhara kwenye ukuaji na maendeleo ya jinsia,Kinga na mfumo wa uzazi kwa watoto wachanga wanaotumia maziwa yenyevsoya....

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.