Header Ads

MENO YA PLASTIKI


hili ni tatizo kubwa mno japo lina mila/tamaduni ndani yake ila tuyaache aya...nacho yaka kukufundisha ni hiki apo chini *****

Ni hivi Mimi binafsi sikuwai yaona Bali nasikia maneno kwa watu,lakini hivi karibuni nikapata mpendwa mmoja yeye yuko Dar es salaam,wilayani kinondoni magomeni pale makuti atimae baada ya kuongea na mama uyu nilipata kuyaona yale meno katika kinywa cha mtoto mdogo ambae ata miezi miwili au sita kama tulivyo zoea mtoto fidhi uanza kupasuka na kushusha meno baada ya miezi 6 lakini mtoto wake anameno na akiwa na mwezi mmoja-(MENO YA PLASTIKI)

SIKIA HII SASA MAANA ULIKUWA UJUI

Kitaalamu meno aya uitwa+(NEONATAL TEETH) Huonekana kwa mtoto mchanga  baada ya siku 30 baada ya kuzaliwa,sababu ya mtoto kuwa na meno hayo mpaka sasa hazijagundulika rasmi na wataalamu,
           Mara nyingi huwa wanashauriwa yatolewe kwa sababu sometimes it is appropriate to leave newborn baby teeth+(Neonatal teeth)
Often,however,they are present before developing any root structure and are at very high risk of falling out and blocking their airway
DALILI ZA MTOTO ANAESUMBUKIWA NA MENO YA  PLASTIKI

1.Kuhara Mara kwa Mara
2.Unapo mlaza kwa tumbo/kifudifudi ukamgusa uti wa mgongo upata haja kubwa japo siyo wore
3.Upumua Mara kwa mara /kujamba
4.Usingizi wake uwa wakubaatisha kidogo anaamka
5.Ulia mara kwa mara
6.Kitovu kuwa kikubwa

TIBA YA KUTIBU MENO YA PLASTI YA MIMEA YA ASILI

Mbochi tunayo bidhaa/dawa hii ya kutibu tatizo la mwanao alie tokwa na meno ya plastiki/bandia
Wasiliana nasi kupitia.
Simu namba..0757349219
E-mail.wisemanthobias@gmail.com
Wisemanthobias527@gmail.com

Maoni 2 :

Inaendeshwa na Blogger.