Header Ads

MATOKEO HALISI YANAYOUMIZA NDOA NYINGI NA WANAUME KUWA DHOOFU



Naimani jamii atujaamua kuwa wazi na kuwafunua watu akili zao,kuwa nini wafanye juu ya afya zao,
    Lakini Wa janga wa hili tatizo la NGUVU ZA KIUME WAO WANAPUYANGA BILA KUTAFUTA CHANZO na atimae kila madawa wanakula
     Tatizo hili ni janga mno,Ila siyo ugonjwa.? Bali ni ugonjwa pale unapo tawala kiakili na kufikiria sana na kuadhirika kisaikolojia,Unajua tendo la ndoa ndiyo jambo peke ambalo umpa mwanaume Eshima ukiachilia kibarua/utafutaji pesa.? Lakini awapo na jambo hili ambalo litamnyima furaha na eshima ndani uwa na matokeo mabovu daima

HIKO HIVI MPENDWA Wa makala za Mbochi Herbal Life-MHL
Sayansi ya NGUVU ZA KIUME hutuwezesha kufahamu kuhusu Mechanism ya nguvu za kiume itatusaidia kujibu maswali muhimu kuhusu nguvu za kiume kama vile.
  1.Ni kitu gani kinafanya uume usimame
2.Nini kinafanya uume kudumu kwa muda mrefu pindi usimamapo
3.Kitu gani kinafanya uume usimame ukiwa imara na wenye nguvu
4.Kitu gani kinafanya uume usimame ukiwa legelege
5.Kitu gani kina Fanya uume kutosimama
6.Kitu gani kinafanya uume kulala baada ya kufika kileleni Round ya 1 ba kushindwa kurudia tendo

Mpendwa ayo ni maswali ya kujiuliza
Kwa nini mwanaume anapoteza msisimko wa kushiriki tendo la ndoa na kulichukia
Nini uchangia hayo yote.?

Baada ya hayo naweza sasa nikakufunulia maarifa machache juu ya mwili wako kuwa nini ufanye kuutibu huu mfumo wa Nguvu za kiume na wewe mwanaume upate heshima ndani kama hawali,kikawaida mwanaume unatakiwa usishuke kifuani mpaka ufike mishindo 3/4 na ukiwa na nguvu zaidi 5 lakini unakuta mtu moja tu.?

Pia wanaume wengi ujiuwa mifumo ya nguvu kwa kuona wanawakomoa wanawake na kufanya ngono kila siku mtu anafanya mishindo 7/8-9 mengine ni upepo ila unajiuwa mwenyewe tu.!
Unajua suala zima la nguvu za kiume nila kimfumo.?

MAMBO MAKUU MUHIMU katika mfumo wa nguvu za kiume .?

1.Ubongo imara na wenye afya njema,ikiwemo na mishipa na misuli ya uume
2.Mishipa ya ubongo-Nerves
3.Mishipa ya damu-Blood vessels
3.Mishipa ya uume kuanzia -Artery+nerves kufa na kuziba pia kutotanuka vema

NA HII NDIYO SABABU KUU inayo wafanya wahanga wa tatizo hili la nguvu  KISUKARI/PUNYETO,CHOLESTEROLS Na kufa kwa mfumo Wa mishipa ya ufahamu

NB:MPENDWA WANGU neno langu kwako usiangaike kula madawa hovyo tafuta kitu ambacho kitakufanya uwe kijana bora,baba bora ndani ya ndoa au kwenye mausiano yako.
Nakuakikishia MBOCHIHERBALLIFE-MHL
NI KIBOKO YA AFYA YAKO.
Mbochiherballife646@gmail.com

Maoni 1 :

  1. Maoni yangu naomba tuongezewe elimu zaidi ya Afya. Pia naomba elimu kuhusu masambwa

    JibuFuta

Inaendeshwa na Blogger.