Header Ads

APANA MGUMBA WALA TASA MBOCHI HERBAL LIFE WENGI WAMEFANIKIWA

APANA MGUMBA WALA TASA MHL WATU WENGI WAMEFANIKIWA

Huu mwaka 2017/10/12 hukawa mwaka wako Wa kupokea kibali kikuu toka kwa Mungu mwenyewe na mwaka 2018 ukabebe mtoto wako Wa mikono yako yote miwili mkifuraia mapendo na matunda ya ndoa yenu maana mtoto ufanyika baraka na kiunganishi kikubwa cha ndoa

Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu asishike mimba,sababu hizo zinaweza zikawa zinamhusu mwanamke au mwanaume moja kwa moja na hata wakati mwingine kutojulikana kabisa kwa tatizo ni nini.? Na mkizingatia wote mko salama,afya nzuri na Mungu yuko upande wenu kwa kila hatua

Ni ukweli kwamba kwa kawaida watu wengi ubeba mimba na kujaaliwa mtoto pale tu wanapofanya tendo la ndoa,lakini wewe ambae kwako kumekuwa kilio umekuwa ndiyo mtiani wewe na mwenzi wako na hata familia na hata wengine ndoa yako kuvunjika
Lakini hilo alitokei kwa watu wengine ingawa kwa baadhi ya watu kila siku huonekana kwenda sawa lakini pia hushindwa kubeba mimba,utafiti uonyesha kwenye kila Couples 5/10 zinazo jamiana katika wakati muafaka wa Ovulation ni mmoja tu ndio hufanikiwa kupata mtoto,huku takribani 10% wakionyesha mafanikio ya kushika mimba baada ya kujaribu kutafuta mtoto kwa mwaka 1 au 8/10 bila kushika mimba,hivyo basi nawaomba wale ambao wamekuwa wakifanya jitihada zao za kutafuta watoto na wasifanikiwe nawaomba msife moyo ikiwa ni mwanamje au mwanaume Amini Mungu anakujua nawe upo wakati wako wakumiliki na kumbeba mtoto wako kwa mikono yako miwili

Basi nakupa fulsa ya wewe kuniona au kuwasiliana nami kwa wewe unae sema naitaji mbaraka ndani ya huu mwaka 2017 tumalize ungwe hii nikiwa mjamzito waweza nipigia/kuonana nami @Herbalist Thobias Beda,MHL hakika atujawai kosea maana mwenye mamlaka ya kuponya yuh upande wetu,amini Ukiwa na MBOCHI HERBAL LIFE -MHL jitihada zenu zitafanikiwa 

Moja ya haya yote hakikisha unamuoba Dr upande wa wakina mama na hata Dr wa afya ya uzazi kwa wakina baba na kupata majibu sahii ya afya yako na kufanyiwa vipimo ilikujua kama afya yako ikosalama au lah.! Kwa kushika mimba MHL atujisifu lakini njoo karibu yetu na Mungu abariki tumbo lako likapokee kile ulicho tarajia 

lAKINI YAKUPASA KUFANYA HAYA 

*General examination au uchunguzi wa jumla 
*Kipimo cha Cancer au Pap smear 
*Kipimo cha magonjwa ya zinaa STD kama vile Chlamydia ambao wanaweza kuathiri uwezo wako wa kushika mimba 
*Kipimo cha damu cha kuangalia kama una upungufu wa damu RH na kinga yako ya mwili dhidi ya ugonjwa wa Rubella 
*Kipimo cha mkojo

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.