Header Ads

UTAMBUE MZUNGUKO WAKO WA HEDHI NA SIKU ZA HATARI








Ikumbukwe kuwa wanawake waliowengi wanatofautiana katika suala zima la urefu Wa Menstruation cycle yani idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ya Pili inayofuatia,kundi kubwa la wanawake wana fall kwenye range ya siku 22-35 japo walio Normal wanasiku 28

Walio normal hawa wanasiku 28 vilevile kuna wengine huwa na Menstruation cycle mbili ambao wana FUPI na NDEFU mathalani wale wenye siku 22 huwa wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period)
Nasema nanyi wanandoa na msio wanandoa hii ikawe faida kwenu nyote msomao makala hii kutoka kurasa za @MHL
MBOCHI HERBAL LIFE-MHL na pengine upo wewe ambae unasema mimi sijui hata siku yangu ya mimba wala mzunguko wangu wa hedhi aueleweki,na wewe ni mwanandoa na unasema una uhakika wa mzunguko kila mwezi lakini ushiki mimba tafadhali wasiliana nami

Period inaweza kukatika ndani ya siku 2 kwa hawa wenye mzunguko mfupi wa siku 22 na wale wenye 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na period ambao wengi ni siku 4/5 umaliza na endapo mzunguko auko sawa uwa ni siku 7/8 kufunga na hapo ndipo umaliza,lakini kati yao hawa wapo ambao ndani ya mwezi mmoja uenda period mara mbili kwa kila mwezi (Hili nalo ni somo ntalueleza hapa)

Hivyo basi kama wewe ni mwana ndoa inakubidi uelewe  vena ni hipi siku yako ya hatari ili kukusaidia Kui-pin ile Fertile day (siku ya mimba)

Watu wengi na hata baadhi ya watafiti wanabaini sha yakuwa siku ya mimba ni ile ya 14 baada ya dalili za kwanza za damu ya hedhi,na hapo ndipo wengi wao upoteza mwelekeo maana hata wakitumia Calendar upotea na atimae akuna mimba na mwishowe akuna jipya wala nini kifanyike
     Ukweli ni kwamba wengi mliofanya hivi ni 9 kwa 10 mlio wai kui-prove kitu bali mnekuwa Failure siku zote,Hii ni kwa sababu wanawake wana aina 3 za mzunguko Wa Menstruation cycle zinazotofautiaba na hawa wote awawezi fanana kwenye siku ya kubeba mimba

Tambua una aina gani ya mzunguko na ndipo uweze kui-pin point sasa siku yako ya hatari
Mfano calendar
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13  (14,15,16) ,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28,29,30 (31)

Calendar ya hedhi (period )

1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,+14,15,16),17,18,19,20,21 (22) 23,24,25,26,27,28

15th day
Baada ya kujua urefu wa Menstruation ya kila mwezi mzima then pin point siku ile ya mwisho halafu backward siku 15 kuanzia siku ile ya mwisho siku hii 15 kuanzia mwisho ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote

@MHL
kwa tiba na ushauri
Piga0757349219

Maoni 1 :

  1. Mimi sijaelewa chochote hapo yaan kichwa gumu sijui mpaka usugue na jiwe🤔

    JibuFuta

Inaendeshwa na Blogger.