Header Ads

UJUE MZUNGUKO WAKO WA HEDHI NA KWA NINI HUPATI MINBA







Kwa nini wewe mwanamke ushiki mimba (fertility awareness) F.A,Unahusu mbinu zina zinazotumika kutambua wakati mwanamke anapoweza kushika mimba katika mzunguko wa hedhi,mbinu hizo zinaweza kutumika ili kuzuia mimba isiyotamaniwa na vilevile kupata mimba iliyotamaniwa lakini kama njia ya kusimamia afya ya uzazi wa mwanamke

Mbinu kadhaa za kubaini siku anbazo mwanamke hawezi kupata mimba zinajulikana na tangu zamani lakini ujuzi Wa kisayansi uliopatikana kwenye karne 20 umeongeza sana idadi na hasa usahii Wa mbinu hizo

Mbinu za ufahamu wa uwezo wa kushika mimba hutegemea uchunguzi wa mabadiliko ya ishara za msingi yanayoashiria nazo uwa ni ishara zinazo ashiria uwezekano Wa kutunga mimba,kama vile
*Joto la mwili
*Ute wa uke na
*Mkao wa seviksi

Kwa kufuatilia mzunguko wote wa hedhi na hivyo kubaini wakati ambapo inawezekana kushika mimba

Ishara nyingine pia zinaweza kuzingatwa pamoja na
*Ulaini wa matiti
*Chuchu kuwa ngozi nzito na ng'avu
*Uchungu wakati wa kijiyai kinapoachiliwa

Uchunguzi wa mkojo kwa kifaa cha kuvashiri udondoshwaji Wa kijiyai na uchunguzi Wa kihadarubini Wa Ute au ugiligili Wa seviksi (mlango Wa kizazi) isitoshe ipo njia ya  kukufanya ubebe mimba kwa wakati

ISHARA ZA UWEZO WA KUSHIKA MIMBA

Mizunguko mingi ya hedhi huwa na siku kadhaa za mwanzoni ambapo mimba haiwezi kupatikana (muda wa kudondosha vijiyai) halafu siku ambazo mimba inaweza kutungika,na kisha siku kadhaa tu kabla ya hedhi ambazo mimba haiwezi kutungika (muda wa kutoshika mimba baada ya kijiyai kudondoshwa) siku ya kwanza ya kuvuja damu inaesabiwa kuwa siku ya kwanza ya mzunguko wa hedhi

NB:kwa mtazamo tu ikiwa waitaji kupata ujauzito au ujui hedhi yako ipoje na nimuda gani waweza pata ujauzito ushauri ni bure
@MHL-mbochi herbal life
Awa wapo kupambana na afya yako na kuwapata waweza wasiliana na
Herbalist Thobias Beda
0757349219
Barua ya pepe;
Mbochiherballife646@gmail.com
Https://mbochiherbal.blogspot.com

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.