Header Ads

KUHARIBIKA KWA MIMBA KILA WAKATI



kuna binti alipata mimba 9/3/2015 mpaka 12/7/2015 mimba ikatoka,na alianza kupatwa na maumivu ya mgongo,kiuno,maziwa kuuma na kuisi kuharisha lakini akuharisha na ikawa ni kawaida kwake,14/7 akaamua kumuona Dr kwa kipimo akaambiwa akuna tatizo na kuonekana kuwa POSITIVE kuwa mimba hipo na iko salama,lakini ajabu 16/7 mwezi huo,akaona damu yani siku zake,chaajabu mwezi wa 8 akuona tena hedhi kama hilivyo kuwa kama hawali,hatimae tarehe 6/9 wakapima na kukutwa ni mjamzito na wakajaribu kupima nyumbani kuhakiki na kupata majibu ya POSITIVE hii ilifika mimba ya miezi 4 na atimae akaanza kupata maumivu tena na akaamua kurudi hospital kwa vipimo na kukuta mimba imeshuka na INA mwezi 1 baada ya wiki ni maumivu na mimba kutoka

MIMBA ZITOKAZO KWA MAZINGIRA

*Kuota unaingiziwa mikono ukeni
*Kuota unatumbukiziwa vitu vikali na kwa nguvu
*Kuota unakamuliwa maziwa
*Kuota unarushwa
*Kuota unakamuliwa maziwa na atimae hedhi
*Kuota uko makaburini
*Kuota una zini na mdudu au jitu la ajabu
*Kuisi kuna MTU anakufuatilia pindi unapo tembea
*Kuisi uko na MTU ndani uwapo peke yako

TATIZO LA KIAFYA

pamoja na hayo yote kuna magonjwa ya mishipa (Lupus) kisukari,matatizo mengine ya Homoni,PID na chupa ya uzazi

Kisababishi kikuu cha mimba kuharibika katika miezi 3 ya kwanza huwa matatizo ya Kromosomu ya KIINITETE/KIJUSI hali ambayo husababisha angalau 50% kutoka kwa mimba mapema
hiko hivi mpendwa kati ya 10% na 50% ya mimba hukamatishwa kwa njia zinazoweza kubainishwa kimatibabu,kutegemea umri na afya ya mwanamke mjamzito,mimba nyingi huaribika katika hatua za mapema sana za ujauzito,kiasi kwamba mwanamke hafahamu kwamba alikuwa mjamzito

Utafiyi uliofanywa kwa kupima Homoni za uzazi kwa kutoa Yai na uligundua kuwa 61.7% ya uhamili uliopotezwa kabla ya wiki 12 na 91.7% ya kuharibika huko kulitokea bila ya dalili
Hatari ya kutoka mimba gafla hupungua kwa kiasi kikubwa baada ya wiki 10 kutoka kipindi cha hedhi

KWA TIBA NA USHAURI WASILIANA NA Herbalist Thobias Beds
Https://mbochiherbal.blogspot.com
E-mail address:
Mbochiherballife646@gmail.com
Simu no.0757 349 219
Uduma ni nje na ndani ya nchi..

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.