KINAMATA TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO(Peptic ulcers)
Mpendwa Mboga hii ya kinamata ni moja ya mboga za kiasili na miongoni mwa walio itumia wamepata manufaa makubwa mno,ni mboga ya asili na yenye faida kedekede mbochi herbal life-mhl itakufunulia mengi kama ulikuwa ijui,kutana na tabibu Thobias Beda kwenye kuijua tiba ya mmea huu wa KINAMATA
Mboga hii ni maarufu mno ususani nchini ufaraansa nako ufahamika sana kwa CAYA BLANC (bre de caya) na nchini Mozambique na kwa lugha yetu APA Tanzania(kiswahili) ni maarufu kwa jina la KINAMATA
Mfano kama chalinze pale msoga,bagamoyo,mkuranga,dodoma,tanga,na pwani yote hii ni dawa mashuhuri mno
Nchini Tanzania hapa ni makabila machache yanayo tumia matumizi ya mboga hii na pengine ni kutokana na kutokujua zake faida kwa mlaji,ukweli kuhusu mboga ya KINAMATA kwa mlaji ni kwamba kuna virutubisho vya kutosha na madini kama vile BETA CAROTENE,VITAMIN C,CHUMA,MAGNESIUM,CALCIUM na PHOSPHORUS
Pia kuna PROTEIN nyingi mno ndani ya mboga hii na Amino Acid nyingi ambayo hii mboga kwa mtumiaji atajitibu maradhi haya moja kwa moja
*vidonda vya tumbo (peptic ulcers)
*Acid tumboni
*Kisukari
Pia nikupe siri moja mpendwa juu ya KINAMATA Dawa hii pwani utumika mno kwenye kumzibiti Mume/mke asitoke nje ya ndoa na asiweze kumtanani mtu yeyote,ni moja ya kazi kubwa mno kwenye hii dawa ambayo utumika kwa kupikia chakula ule mvuke wake
Na ukitaka kuoboresha dawa hiyo tumia
*Asali
*Upukwa
*Juniper berries
*Licorise root na hapo unaweza mfanya mumeo au mke wako utakavyo na akakufuata.hii ni siri nimekupa tu
TUMIA HIVI KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO
chuma kinamata kiasi inacho taka kuandaa kwa dawa,pindi unapo chuma chamua kisha osha na baada ya hapo chemsha na tumia kwa kunywa 1×3 ujazo wa Mils gram 200 kikombw cha chai
Pia waweza blend na kunywa ikiwa kama Fresh juice
SABABU YA VIDONDA VYA TUMBO
Kisababishi cha vidonda vya tumbo ni baada ya kuta za umio kuchubuka na ndipo aina ya bacteria aitwae HELICOBACTERIA PYLORI H.PHLOR na Nonsteroidal ant inflammatory drugs (NSAIDs) ndio visababishi vikuu
Bacteria H.pylori wana husika sana kwa angalau 95% ya vidonda vya tumbo (Gastric ulcers) ya duodenal ulcers
Kwa maitaji ya uduma zetu na dawa za maradhi mengineyo waweza kuwasiliana na Herbalist Thobias Beda
Https://mbochiherbal.blogspot.com
E-mail address:
Mbochiherballife646@gmail.com
Call bye use.0757 349 219
Hakuna maoni