Header Ads

MKANDA WA JESHI(Herpes zoster, herpes genitalis and venereal herpes)



TIBA NA USHAURI JUU YA UGONJWA WA MKANDA WA JESHI
utolewa na MHL-Herbalist Thobias Beda kwa simu
+255757349219
Https://mbochiherbal.blogspot.com
E-mail;
Mbochiherballife646@gmail.com
Kwa Tiba na ushauri juu ya maradhi yanayo kusumbua usisite kueleza juu ya afya yako

NI NINI MAANA YA MKANDA WA JESHI

JINA tutuko zosta hutokana na neno la kigiriki Zoster,lenye yake maana mkanda"au ukanda*kutokana na vipele kwenye ngozi ambavyo ufanana na ukanda,Jina la kiingereza la Shingles (uginjwa wa vipele) linawakilisha jina la kilatini Cingulus,ambalo utokana na neno Cingulum lenye maana hiyo hiyo ya Ukanda

Maradhi haya kwa jina jingine huitwa shingoz husambazwa na virusi vinavyoitwa Varicella Zoster huu ugonjwa ujitokeza gafla yakiambatana na homa Kali pamoja na malengelenge ambayo hutokea kama mstari kwenye eneo husika la ngozi
Mara nyingi huu ugonjwa huonekana kwa wagonjwa wenye upungufu Wa kinga kama vile wagonjwa wanaoishi na virusi vya ukimwi (VVU) ama wale wanaotibiwa magonjwa ya saratani na wenye lishe duni,virusi vya Varicella Zoster huwa vinasafiri kutoka kwenye ngozi na kufuata mwelekeo Wa mishipa ya fahamu,vinapofika kwenye maeneo maalumu ya mishipa ya fahamu (Sensors ganglia huwa vinaweka makazi yao ya kudumu hapo.

Hukaa hapo kwa muda wote Wa maisha ya binadamu huyo na inapotokea MTU Huyo kupata tatizo la afya linalosababisha kinga ya mwili kushuka,virusi hao huanza kushambulia mbali na VVU mambo mengine yanayo weza kusababisha kings ya mwili,majeraha mwilini au maradhi ya saratani
Kinga hiyo inapo pungua virusi hao huanza kushambulia mwili kwa kuonyesha madhara kwenye ngozi na hapo ndipo unapopata mkanda Wa jeshi,ugonjwa huu huathiri zaidi watu wazima cha ajabu ni kwamba ata vijana Wa umri Wa 30/40 ushambuliwa mno na huanza na dalili za maumivu,ugonjwa huu pia hijitokeZa na hali ya kupotea kwa fahamu kwenye eneo lililoathirika pamoja na malenge lenge yalio jikusanya

*Ugonjwa huu hutibiwa kwa kuhakikisha mgonjwa anapata mapumziko ya kutosha na kupewa dawa za kutuliza maumivu

*Mgonjwa hupewa Dawa mahalumu za kuua virusi kwa muda mfupi baada ya dalili za ugonjwa kuonekana kati ya SAA 24/72

*Maradhi haya hutokea upande mmoja Wa mwili hukifuata mwelekeo Wa mfumo Wa fahamu

DALILI ZA MKANDA WA JESHI

Mkanda Wa jeshi mara myingi huathiri sehemu ndogo ya upande mmoja Wa mwili,vitu ambavyo vitu ambavyo vinaweza kujitokeza
*Kufa ganzi
*Kuwaka moto kwa ngozi
*Kuwashwa
*Homa kali
*Uchovu

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.