MARADHI YA UBONGO YANAYOWAKUMBA WATOTO, KUPOTEZA FAHAMU, KUMBUKUMBU, MTINDIO WA UBONGO&DEGEDEGE
Mpendwa ni hivi yapo mambo ambayo Ubongo Wa binadamu unatakiwa kufanya kwa ufanisi ili MTU aonekane kuwa na akili ufahamu mzuri,mambo hayo ni kama vile kuwa na uwezo Wa kujifunza na kuelewa kwa haraka,kutunza kumbukumbu na kuwa na uwezo Wa kutumia tens taarifa zilizo tunzwa katika ubongo ili kuzichanganua kulingana na hali halisi ya mazingira yanayo mkabili
Tanaweza kuutazama ubongo kamili kama ilivyo kompyuta ilivyo na mfumo tata Wa kuchakata taarifa ambayo utendaji wake hutegemea uwezo wa mtumiaji
Hivyo ndivyo akili ya binadamu hutegemea maumbile ya vitu vilivyomo ndani ya ubongo na mazingira ya nje
UBONGO UNA NYAYA AINA YA MYELIN
Katika ubongo kuna nyaya zinazo safirisha taarifa kutoka seli moja kwenda seli nyingine ya ubungo,nyaya hizi zimefunikwa na utando Wa mafuta mafuta,unaojulikana kama Myelin,
Myelin kama ilivyo kwa vifuniko vya plastiki vinavyo funika waya Wa umeme,huzuia mkondo Wa taarifa katika seli za ubongo zisivuje na kwa maana hiyo huziwezesha kusafiri kwa haraka katika sehemu mbalimbali za ubongo
Ubongo wenye Myelin yenye ubora Wa hali ya juu husaidia MTU kuwa na uwezo mkubwa Wa kuakili,yapo mambo ambayo yanasaidia ubongo kuwa na afya nzuri na yanasaidia Myelin kuwa katika hali nzuri
UBONGO WA MTOTO
Kadiri ubongo Wa motto unavyo chichewa kwa vichocheo na vichangamshi salama ndivyo chembe nyingi zaidi za Neva zinavyoanza kufanya Nazi na kuunganishwa,ubongo Wa mtoto hauchochewi na kukuzwa kupitia kufundishwa mambo,hesabu au lugha pekee mtoto anaitaji kuchochewa furaha pia upendo
MATATIZO YA HEMIPLEGIA KWA WATOTO
Aina hii ya hemiplegia ya tatizo la ubongo kwa mtoto ambayo umfanya kuwa kama na mtindio Wa ubongo
Dalili zake hujitokeza kati ya miezi 10-14
*Viganja vya mikono kukuza kama ngumi
*kujikunja kwa mkono mzima
*vidole kuchanika
*mwendo huwa wakutembea na ncha za vidole gumba na matege ya miguu kama banio
*mtoto kushindwa kunyonya vizuri
*kushindwa kumeza
*kunyonya taratibu isivyo kawaida
*kupaliwa au kugokwa na kutapika
*kuwa na ulegevu Wa misuli/kukaza
*viungo kuto cheza vizuri
*Tumbo kubadili umbo lake
KUSHINDWA KUKOMAA KWA UBONGO
*Kushindwa kuwa na tabasamu
*kuwa na mishtuko
*kutembea katika umri Wa kawaida
*kutopata usingiz
mbochi herbal life-mhl
Kwa ushauri na tiba wasiliana na Tabibu Thobias Beda kwa simu 0757349219
Barua ya pepe;
Mbochiherballife646@gmail.com
Https://mbochiherbal.blogspot.com
Hakuna maoni