NAMNA YA KUONDOA CHUNUSI NA KUPUNGUZA MAFUTA YA USO...
Mpendwa mwana face book Nina kusalimu kwa jina la kristo YESU
Yangu IMANI muwazima wote kwa upendo Wa MUNGU na tunapumua kwa NEEMA na REHEMA pasipo kulipia pumzi hii
Leo katika makala hii nakuorodheshea wewe mpendwa unae sumbuliwa na USO wenye MADOA,uso wenye CHUNUSI ndogo ndogo na kubwa zenye kuambatana na USO Wa mafuta,Dawa hii itafanya uso wako kuwa mkavu na safi kwa ngozi,pia MBOCHI HERBAL LIFE-MHL imeandaa sabuni safi zenye kuobdia mafuta pia chunusi na kufuta madowa
pia dawa hii ufuta madowa yanayo achwa usoni na chunusi na madowa mengineyo
NAMNA YA KUANDAA DAWA YENYE MCHANGANYIKO WA KIASILI
*Binzari (manjano)
*Liwa
*Rose water
*Mauwa ya kikuba
*Mafuta ya ndimu
*Kiini cha parachichi
*Asali
MATUMIZI YA DAWA
tumia kuchanganya ROSE WATER na liwa,binzari kisha weka unga wa kiini cha parachichi,mauwa ya kikuba na mgando wako weka pembeni kisha weka asali vijiko 4 kuandaa Scrub yako vizuri
Kisha chukuwa maji moto na uoshe wako uso na baada ya hapo futa uso na ujibandike dawa yako usoni na baada ya dakika 15 utatoa dawa yako usoni kisha unaosha uso wako
Baada ya hapo utatumia mafuta yako kwa kujipaka
(MAFUTA YA NDIMU) kwa kutwa ni Mara moja tuuu.!
MUNGU WA MBINGUNI AWABARIKI NYOTE
Hakuna maoni