NAMNA UNAVYOWEZA KUPANDISHA KINGA YAKO YA MWILI
Mpendwa ushauri wangu kwako ni huu yakwamba tumia mchanganyiko huu wa matunda
1.Apple,aloe vera,stafeli,tangawizi,kitunguu saumu na karoti
TANGAWIZI
Hii inafaida nyingi mno kiafya hikiwemo
*Uongeza hamu ya kula
*Kiaukari
*Shinikizo la damu
*kuongeza msukumo wa damu
*kutoa sumu mwilini
*pia mmea huu endapo utawaiwa mapema na ndugu zetu wenye Ukimwi basi mgonjwa huyo mwili utakuwa sawa Na pia magonjwa hayo nyemelezi hapo juu ayato mpata
ALOVERA
Mmea wa alovera (Aloe vera) ufanya kazi nyingi katika kurutubisha mwili na kuupa mwili kinfa katika kuulinda na maradhi,mmea huu una vichocheo vinavyo ua vimelea vya magonjwa kana bakteria,virusi na fangasi,huchochea utengenezwaji wa chembe chembe mpya na tishu mpya zenye afya,hufanya mfumo wa fahamu kufanya kazi vizuri na kutuliza matatizo ya mfumo wa fahamu
KITUNGUU SAUMU
Katika tafiti niliyo pata nyingi juu ya kitunguu swaumu imeonekana wazi kuwa na uwezo wa kutibu maambukizi ya bakteria,fangasi Na virusi vya aina mbali mbali aidha kuzuia magonjwa ya moyo,ikiwemo kuobsoa lehamu kwenyevmishipa ya damu
LIMAO
Hili nalo lina faida kem kem ikiwamo Na
*uyayushaji mafuta mabaya yote katika mwili yaletayo mgandamizo wa mishipa Na kuziba kwavmishipac
*utibu kifua
*utibu kiseyeye
*uondoa uzito mwilini
Pia usaidia mmeng'enyo wa chakula
KAROTI
*Karoti husaidia kuondoa sumu Na taka mwilini
*Inaondoa mafuta yasiyotakiwa katika INI
*uondoa tatizo la shinikizo la damu(blood pressure)
*karoti inauwezo Wa kupambana Na sukari Type 2
*usaidia kuongeza kinga za mwili (Immune booster)
STAFELI
*stafeli majani take hutumika kwenye kutibu maradhi ya miguu kwa wale wenye maumivu
*tunda hili in chanzo kikuu cha vitamini C na Iron,Niacin riboflavin na 12% ya tunda hili ni sukati salama
APPLE
Apple ni tunda ambalo lina aina ya sukari ambayo hutumika kuzalisha nishati ya mwili -Fructose)
Pia ni tunda lenye FIBER-nyuzi nyingi Na husaidia kuondoa sumu mbali mbali za vyakula kwenye kuta za utumbo
Apple utibu hayo Na zaidi
*Kisukari
*Mzunguko mbaya Wa hedhi
*Bawasiri
*Kiharusi
Address;
Mbochiherballife646@gmail.com
No.0757349219
Mungu anakupenda mpendwa msomaji Na akukinge kwa kila jambo ninawaombea nyote Mungu akutane Na maitaji ya moyo wenu
Mwanzo 2:15
Hakuna maoni