Header Ads

SASA BAIBAI MENO YA NJANO NA MDOMO KUTOA HARUFU MBAYA






Aisee wewe mwenye meno ya njano/utando Wa kijani dawa hiyo tafuta mtii huu ujulikanao kwa MTAYO ni miti ipatikanayo kwa wingi kanda ya ziwa Na wengine uuita SINDANO Na wameupa jina hilo kutokana Na mti huu ujifunga sana pia ukamata kitu kwa yake miba

Mzizi Wa mti huu utumika kwa tiba pale utafunapo Na kumeza maji maji yake kwa wagonjwa Wa mapafu Na vinywa vitoavyo arufu,maana ya kusema mapafu ni hivi wengi ujitaidi kusafisha vinywa vyao Na baada ya muda tu.! Vinywa utoa arufu kali mno,pia vinywa vyao uwa vikavu Na avina mate mate Na utoa arufu Kali mno pindi waongeapo tu.!

Tumia hiyo dawa itakusaidia Mara moja Na uepuke aibu hiyo
Mbochi Herbal Life-MHL
Tunakujali Na tunapenda yako afya

Pia kwa wale wenye meno ya njano au utando Wa kijani...

Mbochiherballife646@gmail.com

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.