MBOGA YA MGAGANI NA TIBA ZAKE KWA MARADHI YA MWANADAMU
Mboga hii aina ya Mgagani,Ni maarufu mno kwa kabila chache za hapa Tanzania Na Africa kwa ujumla
Mboga hii wapendwa ni kwamba ina aina nyingi za virutubisho vya kutosha pia mgagani una madini mengi kama vile
#Betacaratene ,Vitamin C,magnesium,Calcium Na phosphorus, protein Na Asidi nyingi aina ya amino ambazo kwa pamoja ni muhimu mwilini
MGAGANI Kwa MWAUME una tibu.!
Tumia Ufuta kukaanga Na badae twanga kisha chekecha Na uloweke kwenye maji nusu kikombe upate tui lake,kisha bandika mboga yako jikoni changanya kwa pamoja,kisha
Tumia kwa kula mboga hii ukiwa umeweka chumvi ya mawe kidogo,
Dawa hii itakuongeza nguvu mwili mwako,pia utakuwa safi kwa kila kitu nk.
MGAGANI UTIBU YAFUATAYO KWA MWANAMKE
*Tumia mgagani kwa kuondoa arufu chafu sehemu za tupu (Uk**)
*Tumia mgagani kwa kuubana (Uk**)
*Tumia mgagani kiasi kidogo kukufanya kuwa mkavu Na mwenye arufu nzuri
*Tumia mgagani kwa kuondoa maumivu ya hedhi
*Tumia mgagani kupunguza maumivu ya uzazi nk.
MGAGANI UTIBU HAYA
*Mgagani utibu magonjwa ya masikio/kuuma kwa sikio
*mgagani utibu jino
*mgagani utibu Bawasiri
*mgagani utibu maumivu ya kichwa
*mgagani utibu Jongo (gout)
*mgagani utibu OMA ya manjano
*mgagani utibu Anemia
NB;mpendwa twakushauri tumia mboga hii ikiwa kama tiba kwa maradhi uyaonayo hapo,ni dawa safi Na yenye kutibu maradhi mengi,mgagani ni mboga ya asili kama vile chunga,mnavu Na saladini pia ni mboga ambazo ujiotea maporini kwa wingi,japo sasa ulimwa
Mpendwa unae uitaji mgagani mbichi au mkavu,pia mbegu za mgagani waweza kuweka Order hapa kupitia Barua pepe yetu au simu namba hapo chini
Barua pepe:
Mbochiherballife646@gmail.com
Simu;
+255(0)757349219
WhatsApp number;
+255(0)718311754
Hakuna maoni