JUICE YA KARITI,TANGAWIZI, NA NDIMU NI TIBA KWA MARADHI TAKRIBANI 72
Mpendwa wangu Na wewe unaefiatilia makala hizi katika ma-group mbali mbali Na katika kurasa za MBOCHI HERBAL LIFE-MHL tunakupa habari hii ambayo ni ni raisi hata uwapo nyumbani tafadhali andaa juice hii maususi ata kwa familia,hivi ni viungo pia ni matunda kama karoti..
Pengine ujui kazi Na faida ya hivi vitu.!
1.Tangawizi
2.Karoti
3.Ndimu
1.TANGAWIZI
Mpendwa ni hivi tangawizi ina uwezo mkubwa wa kupambana Na magonjwa takribani 48/72
Tangawizi ina vyanzo vingi vya MAGENISIUM, COPPER,VITAMINI B6,POTASSIUM Na hii ikiwa katika mwili was binadamu ni pamoja Na ugunduzi wa kitaalamu juu ya tangawizi iwezavyo kufanya kazi
FAIDA ZA KUTUMIA TANGAWIZI
*Tangawizi uondoa kichefu chefu
*Tangawizi uzibiti tatizo la mfumo wa nguvu za kiume aswa ukitimia Fresh kwa kuchanganya Na Asali,ulinjani,maziwa fresh,kitunguu saumu,fua Na tikiti maji
*Tangawizi huondoa Maumivu ya tumbo
*Tangawizi uzuia Cholesterol
*Tangawizi usaidia mfumo wa chakula katika kumeng'enya chakula
*Tangawizi usaidia mfumo wa damu
2.KAROTI
Karoti pamoja na kuwa Na faida nyingi kiafya nyingi mwilini ikiwa utakula walau karoti 10 kwa wiki au kila siku moja unatafuna ikiwa MBICHI,IKIWA IMECHEMSHWA,KUTUMIA KWENYE SALAD,KUTENGENEZA JUICE,SMOOTHIE AU KUTAFUNA NK.
Karoti husaidia kuimarisha macho kuona vizuri
Mfano.kutoona vema kwa nyakat za usiku
Pia karoti uondoa tatizo la Allergy kwenye macho mfano kuwashwa kwa macho.
Ni hivi mpendwa wetu ikiwa unasumbuka na maradhi ya macho wasiliana nasi kwa kupata uduma zetu
+255(0)757349219
Mbochiherballife646@gmail.com
*karoti usaidia kutoa mafuta mabaya yote mwilini
*karoti ukinga vizi za meno
*karoti ukinga ngozi Na kufanya ngozi kuwa ng'avu
*karoti uzuia Stroke(kiharusi)
*karoti uzuia shinikizo la damu(blood pressure)
Karoti usaidia mwili kupata madini muimu ya Potassium ambayo husaidia kutanua mirija ya damu (Blood vessels) pia damu kufika katika (Organs)
FAIDA ZA KAROTI PINDI UITUMIAPO KAMA TUNDA
Karoti INA protini kidogo Na haina mafuta kama tulivyo ona matunda mengine kama PARACHICHI(Avocado) kwani ina asili ya wanga Na chanzo kizuri cha vitamini B,C Na E Pia karoti ina madini mengi ikiwemo madini ya Chuma,vitamini A na virutubisho vingi vya fiber
3.LIMAO
MBOCHI HERBAL LIFE-MHL
Inapenda wewe unae soma makala hizi uweze KU-LIKE Na KU-SHARE kwa wingi post hii iwafikie kila kona
LIMAO___Huongeza kinga yako ya mwili has a kupumvana na magonjwa madogo madogo kama Mafua,kikohozi
Hakuna maoni