JE! WAJUA KIAZI KIKUU NA FAIDA ZAKE
Ebu twende pamoja katika madaa hii hapa isemayo
JE.! WAJUA KIAZI KIKUU NA FAIDA ZAKE
Hiko hivi mpendwa wangu kiazi kikuu ni chakula alisi Na chakiasili chenye uwezo mkubwa kiafya japo walaji was hii kitu ni wachache mno pia kinaumaarufu kwa kanda za mikoa kama
KILIMANJARO
DODOMA
IRINGA
MOROGORO
BUKOBA NA KIGOMA
nadhani utastaajabu pindi ujuapo kazi za hiki kiazi Na sasa utaanza kukifuatilia Na kukila kama chakula
Kiazi kikuu mpendwa au kitaalamu ujulikana kama (Dioscorea alata) hutibu ugonjwa magonjwa mengi likiwamo haina hii ya ugonjwa wa kisonono maarufu kwa vijana wengu katika jamii kama (Gono) ambao ni kifupisho cha neno la kitaalamu la gonorrhea,kabla haujakomaa ugonjwa mwilini,Ili kuwwza kuondoa na kupunguza sumu ziingiazo mwilini na magonjwa katika mwili wa binadamu ni lazima tukubali na kutumia vyakula vya kiasili na ambavyo havikusindikwa na kuchanganywa na tindikali/kemikali
Hiko hivi 65% ya watanzania waingiapo mjini ukataa uasili wa kwao na ata vile alavyo atavikataa kabisa na kujifanya wamjini,na katika tiba za asili kwa hapa kwetu bado sana siyo kama bara la ulaya,china,asia,india na ufaransa hawa niwatumuaji wakubwa na mimea na awatupi asili ya vyakula
Kiazi hiki maarufu kama kiazi kikuu ni chanzo kikubwa cha vitamini B6 ambayo inauwezo mkubwa wa kusambaratisha kemikali zote za sumu mwilini kama vile Homocysteine
Utofauti wa mmea huu ni ni pake unapotambaa Na pindi utoapo mizizi yake utanuka Na kuwa kiazi ijapo kuwa ingefanana Na kiazi kitamu au ming'oko pia mohogo
Lakini tunazungumzia mmea huu kuwa na tiba nyingi
Mmea huu utibu na kupambana na Compounds zilizomo kwenye kiazi husaidia kupambana sumu mwilini hasa kwenye kongosho,bawasiri,shambulio la moyo na kuondoa uzito uliopitiliza
Mbochiherballife646@gmail.com
Call by use +255757349219
MBOCHI HERBAL LIFE-MHL
Hakuna maoni