VIASHIRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
@LAKINI UKIFUATILIA MAKALA ZANGU NYINGI UTAKUTA NILIZO FUNDISHA NAMNA MFUMO WA MWILI WA MWANAUME UFANYAVYO KAZI NA NINI CHANZO CHA KUPUNGUA KWA NGUVU HIZO
Pia kaa ukijua huu siyo ugonjwa bali ni tatizo lakimfumo wa mwili hivyo ziko sababu zikufanyavyo hivyo ulivyo.!! Njoo tukuelimishe (MHL)
Sasa twende katika yetu mada kwanza nikusalimu mprndwa msomaji Na wewe unaefuatilia kila makala kujua nini kinaendelea juu ya tiba mbali mbali za maradhi yamkumbayo mwanadamu,MUNGU NA AKUBARILI MPENDWA
MTU mwenye tatizo la ukosefu Wa nguvu za kiume huwa Na dalili zifuatazo
1.Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
2.Uume kusimama ukiwa legelege
3.Kuwai kumaliza tendo la ndoa
4.Mwanaume kutokuwa Na uwezo Wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili,Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanys tendo la ndoa staili moja tu.! Ni kweli wenye tatizo hili hapo anakuwa Na uwezo Wa kushiriki tendo pale wakiwa wamelaliana ikitokea mwanamke amebadili basi uume usinyaa Na kushindwa tena kuendelea na kutosimama kwa uume vizuri
Pia upoteza nguvu mwenye kiuno na miguu na pindi atakapo jaribu kuendekea kufanya tendo basi vifundo uishiwa nguvu na kuisi kuchoka
5.Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwa shikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu
6.Uume kusinyaa ukiwa ndani ya tupu ya mwanamke
7.Uume kusinyaa pindi inapotokea Activity yeyote na kiungo ama Organ nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa
Hiko hivi...!//
Wakati wa tendo la ndoa,ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya,basi ujue uume nao utasinyaa
8.Uume kusinyaa Mara tu baada kutolewa ndani ya uke,hii uwa hivi unafanya tendo halafu uume ukatoka nje kitendo cha kusema uhushike na kurudisha au kulengesha ili kuingia ndani tena basi uishiwa nguvu,hamu na kuisi uchovu wa kuanzia kifuani kushuka chini
9.Kutokuwa na uwezo wa kurudiactendo la ndoa
10.Kupatwa na maimivu wakati wa tendo la ndoa
NB;mpendwa wa #MBOCHIHERBALLIFE-MHL nikwambie kitu kitakacho kusaidie usikae na kuwaza au kudanganywa kuwa upungufu wa nguvu za kiume ni ugonjwa hapana,haya ni matatizo ya Organ za mwili +TATIZO LA KIMFUMO+ ujajua tu wapi pakuzibiti ili uwe sawa
@Mbochiherballife646@gmail.com
@0757349219
Hawa ndiyo suluisho lako chukua maamuzi sasa ili kufikia uduma hii na usikubali kubaki kama ulivyo,Na MUNGU akusaidie
Hakuna maoni